Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma
Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha kisasa pale Airport lakini tunaambiwa EWURA WANANYIMA VIBALI! sasa najiuliza je Mkurugenzi EWURA ni mkubwa kuliko NAIBU WAZIRI MKUU?
au ndio kama ya Makonda kumtishia WAZIRI MKUU?
yaan mtu amepambana kujenga kituo tena cha kisasa halafu mnamyima vibali kweli kweli kweeeeli jamani?
Ulaaniwe sana wewe Mume wa spika wewe kutesa watu kukaa foleni kupata huduma kwenye ardhi yao! au mwenzetu ni Mzambia? unahujumu? daaah