Je, nani anapokea mahari kwa binti aliyelelewa na mama pekee?

She wants to marry a man who single handedly makes enough money to support a family (wife, children).

She also wants him to finish work by 5, be at home by 6 for dinner, NOT have to answer work emails in the evening, and not do any work on the weekend.

Trad Con Fantasies.
 
Uo ndiyo utaratibu wa mahari, hata ukioa unajua umeoa kweli maana unajua ndugu za binti pande zote mbilina zimeshiriki kukupa mke.
Nina mtoto wa dada yangu mwanaume alikataa mimba na hakutaka dada awajue ndugu zake kabisa na mwanaume aliondoka hatujui hata yupo wapi mwaka wa 20 huu.Kwa hiyo binti akitaka kuolewa asiolewe kisa ndugu hawajulikani? Sijui kwa taratibu zenu ila kwetu kwa issue kama hii mahari watapokea wajomba upande wa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaa watapokea waliomlea baasi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha na hao wasiojua mila na desturi wanajificha mapungufu yao kwenye kichaka cha hizo mila. Hao jamaa ni zero kabisa hawana wanalolijua na hawajawahi pokea mahari yoyote wala kushiriki kutoa.
 
Sasa wewe mwanaume unayejielewa si utafute huyo aliyelelewa na wazazi wote ili mambo yasiwe mengiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mnahangaika
 
Madhara ya uzinzi na uasherati hayo.
 
Watapokea wajomba na kumkabidhi mama mzaa chema
 
Kama hatambui ndugu yeyote upande wa baba hakuna kuoa.
je, mfano na huyo muoaji amelelewa na mama tu na hawajui upande wa baba na binti kalelewa na wazazi wake wote? Inamaana binti naye amkatae muoaji kisa kalelewa na mama tu? Msipende kuwadharau mabinti kiasi hicho. Ijulikane kwamba mke mwema hutoka kwa Bwana, na masuala ya ndoa kudumu au kutokudumu Mungu ndiye anayepanga na juhudi za wote wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…