Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,237 Reaction score 31,811 Jun 25, 2021 #41 bizplan said: Mkuu baniani mbaya kiatu chake dawa. Hakika tusione mapungufu tu ya TFF ila wamefanya kazi kubwa sana....tuwapongeze. Click to expand... Sana TFF wamekuwa very smart for the past five years. Kwanza kuanzisha bodi ya ligi was a smartest idea imefanya mapinduzi makubwa sana. Vilabu vinatakiwa vianze kuboresha departments zao wawekeze na kwenye masoko. Wanapaswa waanze kufanya trading.
bizplan said: Mkuu baniani mbaya kiatu chake dawa. Hakika tusione mapungufu tu ya TFF ila wamefanya kazi kubwa sana....tuwapongeze. Click to expand... Sana TFF wamekuwa very smart for the past five years. Kwanza kuanzisha bodi ya ligi was a smartest idea imefanya mapinduzi makubwa sana. Vilabu vinatakiwa vianze kuboresha departments zao wawekeze na kwenye masoko. Wanapaswa waanze kufanya trading.
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 Jun 25, 2021 #42 Wawekezaji pekee ndio wanaostahili pongezi zote Azam/Bakhresa na Mo Dewji wanastahili tuzo maalum Akina Haji Manara ni midomo tu, sidhani kama mchango wao umeleta makubwa yoyote.
Wawekezaji pekee ndio wanaostahili pongezi zote Azam/Bakhresa na Mo Dewji wanastahili tuzo maalum Akina Haji Manara ni midomo tu, sidhani kama mchango wao umeleta makubwa yoyote.