Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Sana TFF wamekuwa very smart for the past five years.Mkuu baniani mbaya kiatu chake dawa. Hakika tusione mapungufu tu ya TFF ila wamefanya kazi kubwa sana....tuwapongeze.
Kwanza kuanzisha bodi ya ligi was a smartest idea imefanya mapinduzi makubwa sana.
Vilabu vinatakiwa vianze kuboresha departments zao wawekeze na kwenye masoko.
Wanapaswa waanze kufanya trading.