greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Nilijaza namba ya NIDA ili waweze kuona kama namba ipo kwenye Database ya serikali...Hizo taarifa uliwapa wewe mwenyewe, ukiwa na akili Timamu wakati wa kusajili Raini ya Simu.
Tena wakasema weka saini apa ukaweka huku unachekelea, Kuna kikaratasi hua kina kuja na simcard kinaeleza bayana A - Z na jinsi watakavyo tumia data hzo kwa ajiri ya biashara, lkn wewe hukusoma..
Nilijaza namba ya NIDA ili waweze kuona kama namba ipo kwenye Database ya serikali...
Taarifa binafsi zinatakiwa kuhifadhiwa na serikali.
Kile kikaratasi kinachokaaga na line huwa unakisoma kweli mkuu?😀😀😀😀Nilijaza namba ya NIDA ili waweze kuona kama namba ipo kwenye Database ya serikali...
Taarifa binafsi zinatakiwa kuhifadhiwa na serikali.
Sidhani hata kama anajua kuwa akihama mkoa tuu na baadhi ya code zinabadilika mfano kwenye messages,ndio maana hata ukiongea na watoa huduma wanakuuliza upo wapi..Namba yako ya simu ni utambulisho wako tosha, mpaka eneo uliopo kwa muda huo.
Happy birthday mkuu,ishi sana 🙏..faida ni lile gawio wanatumaga usiku wa manane😀😀😀au hujawai pata?Jumatatu ya leo ya tarehe 13/04 ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa.
Asubuhi nilipokea pongezi kutoka kwa marafiki na jamaa kupitia jumbe za meseji za kawaida na WhatsApp.
Ilipofika mida ya saa 4 Asubuhi, nikapokea meseji kutoka Airtel, ikintakia heri ya siku ya kuzaliwa.Nilifurahi lakini baada ya kama dakika 5 hivi;nikaanza kujiuliza maswali
1. Wamejuaje kama leo ni siku yangu ya kuzaliwa
2. Kama ni kupitia NIDA ,je, wamepewaje bila ridhaa yangu
3. Makampuni binafsi mangapi mengine wana taarifa zangu binafsi?
4. Kama zinatumika kibiashara,mimi nafaidikaje
5. Narindwaje kwa uwepo wa taarifa hizi katika makampuni binafsi...?
Nikaona hili suala lafaa kulileta jukwaani ili kuona maoni ya wengine.
Alafu ni mtu mzima kabisaNi hizi hizi akili ndio huwa unazitumia kuvuka barabara?
Huyu jamaa inaelekea ana kichwa chenye matopeHizo ni kumbukumbu zako ulizo zitoa mwenyewe wakati wa kusajili laini, kinacho kushangaza hapo ni kipi?
Unapoenda kusajili laini kwa kutumia kitambulisho cha NIDA au kingine, taarifa zako zinabaki kwenye data base yao kuanzia siku hiyo.
Suala dogo kama hili kweli nalo ni la kuja kuanzishia uzi humu?Huyu jamaa inaelekea ana kichwa chenye matope
Mkuu, hujawahi kuligundua hili unapohama ukanda mmoja kwenda mwingine hata vifurushi vya mitandao vinakuonesha?nilienda dodoma, Yas wakaniambia, karibu kwenye duka letu ambalo lipo sehemu x,( ndani ya dodoma ) pia nikaenda Manyara wakaniambia karibu kwenye duka letu lililopo Galapo ( ndani ya manyara )
Ulikuwa umeenda burundi?Sidhani hata kama anajua kuwa akihama mkoa tuu na baadhi ya code zinabadilika mfano kwenye messages,ndio maana hata ukiongea na watoa huduma wanakuuliza upo wapi..