Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Hakuna siri katika nchi ya mbogamboga.
😁😁😁Kile kikaratasi kinachokaaga na line huwa unakisoma kweli mkuu?😀😀😀😀
Tupe elimu mkuu1. Wamejuaje kama leo ni siku yangu ya kuzaliwa? sababu ulitumia NIDA kusajilia.
2. Kama ni kupitia NIDA ,je, wamepewaje bila ridhaa yangu? wewe ndo uliyewapa wakati wa usajili.
3. Makampuni binafsi mangapi mengine wana taarifa zangu binafsi? hakuna, labda wewe ndo uwape, mfano google, etc
4. Kama zinatumika kibiashara,mimi nafaidikaje? Haitumiki.
5. Narindwaje kwa uwepo wa taarifa hizi katika makampuni binafsi...? kuna tume inaitwa TUME YA TAARIFA BINAFSI, kapitie.
Nyie ndiyo wale wajuvi wa kila kitu...Umetimiza umri gani,ili tulinganishe ulichoandika na umri wako kama vinaendana
A fool ushapanua mdomoUkute na wewe una familia