Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Zungumzia kwanza kufuzuSijui kiatu cha dhahabu kitatua lini bongo.
Angechukua Mo Salah
Mkuu,sahau habar hizo...sisi bado tunahangaika na simba na yanga!Sijui kiatu cha dhahabu kitatua lini bongo.
Plus mambo ya cecafaMkuu,sahau habar hizo...sisi bado tunahangaika na simba na yanga!
Kitakuja kupigia picha tuSijui kiatu cha dhahabu kitatua lini bongo.
kwa ufungaji bora Ronaldo atachukua hiyo ni paiHii ndio tuzo atakayopewa Kinara wa ufungaji mabao katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia. Je ni Messi, Ronaldo, Muller, Kane au Lewandowsky?
Kwa uzoefu wangu naona tuzo hii ikienda kwa Radamel Falcao Garcia ambaye wengi hawamtaji sana. Endapo akiwa fiti sina wasi wowote Falcao ndio atakuwa mfungaji bora wa michuano.
Tupia utabiri wako...
View attachment 795692
Bila jitihada mtaishia kuliona jf tuSijui kiatu cha dhahabu kitatua lini bongo.