Je nani kuondoka na tuzo hii?

Je nani kuondoka na tuzo hii?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ndio tuzo atakayopewa Kinara wa ufungaji mabao katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia. Je ni Messi, Ronaldo, Muller, Kane au Lewandowsky?

Kwa uzoefu wangu naona tuzo hii ikienda kwa Radamel Falcao Garcia ambaye wengi hawamtaji sana. Endapo akiwa fiti sina wasi wowote Falcao ndio atakuwa mfungaji bora wa michuano.

Tupia utabiri wako...
02611b9cd848a43b6e3bab823800c551.jpg
 
Hii ndio tuzo atakayopewa Kinara wa ufungaji mabao katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia. Je ni Messi, Ronaldo, Muller, Kane au Lewandowsky?

Kwa uzoefu wangu naona tuzo hii ikienda kwa Radamel Falcao Garcia ambaye wengi hawamtaji sana. Endapo akiwa fiti sina wasi wowote Falcao ndio atakuwa mfungaji bora wa michuano.

Tupia utabiri wako...
View attachment 795692
kwa ufungaji bora Ronaldo atachukua hiyo ni pai
 
Back
Top Bottom