official__pius New Member Joined Aug 11, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Dec 20, 2022 #1 Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?