VanDon
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 396
- 680
Ni kuweka mfumo wa kuwakataa bila kuwaumiza.Muda mwingine ni lazima Uwe na roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuweka mfumo wa kuwakataa bila kuwaumiza.Muda mwingine ni lazima Uwe na roho mbaya
Mtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji?Hakuna raha duniani kama kusaidia wahitaji
Tafuta hela
Roho mbaya ni nusu uchawi
Ndio utamaduni wetu,ukiupinga wewe ni nusu mchawi au mjuaji,mbona misiba ya Matajiri pia tunatoa rambirambiMtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji?