VanDon JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 396 Reaction score 680 Sep 22, 2023 #21 Prakatatumba abaabaabaa said: Muda mwingine ni lazima Uwe na roho mbaya Click to expand... Ni kuweka mfumo wa kuwakataa bila kuwaumiza.
Prakatatumba abaabaabaa said: Muda mwingine ni lazima Uwe na roho mbaya Click to expand... Ni kuweka mfumo wa kuwakataa bila kuwaumiza.
Prakatatumba abaabaabaa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 6,087 Sep 22, 2023 Thread starter #22 mdukuzi said: Hakuna raha duniani kama kusaidia wahitaji Tafuta hela Roho mbaya ni nusu uchawi Click to expand... Mtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji?
mdukuzi said: Hakuna raha duniani kama kusaidia wahitaji Tafuta hela Roho mbaya ni nusu uchawi Click to expand... Mtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji?
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 22, 2023 #23 Prakatatumba abaabaabaa said: Mtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji? Click to expand... Ndio utamaduni wetu,ukiupinga wewe ni nusu mchawi au mjuaji,mbona misiba ya Matajiri pia tunatoa rambirambi
Prakatatumba abaabaabaa said: Mtu mzima anaefanya kazi kaamua kufunga ndoa yake ya mamilioni ni muhitaji? Click to expand... Ndio utamaduni wetu,ukiupinga wewe ni nusu mchawi au mjuaji,mbona misiba ya Matajiri pia tunatoa rambirambi