Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

SubTopic

Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
95
Reaction score
175

Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

Kinachotofautisha dish ni zile rangi tuu na jina wanalo andika/bandika...madish yote yapo sawa,zingatia tuu dimensions,LnB zina band(K,C) weka band sahihii ya unachotaka ukione/ujisajili...pia unaweza chukua dish 1 na ukaweka LnB zaid ya moja
 
Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

Satellite dish ni uelekeo tu wa dish linaangalia wapi, ila Azam unaweza tumia DStv/startimes/zuku and vice versa is true.
 
Mbona kuna free channels hasa za dini Azam wamezifunga Hadi ulipie. Hii ni sawa na kama ukizitaka unafanyaje?.
 
Mimi niliwafuata kweny WhatsApp namba yao nikachat nao nikanyoosha maelekezo kuwa ninahitaji chanel za free to air zioneshe hata kama sijalipia maana kifurushi kimeisha hapa na ni haki yangu wala siwaombi nikaweka namba yangu ya smartcard mbona saa haijaisha chanel zikaonesha ziko kama 10 hivi baada ya siku 1 zikaacha kuonesha tena nikawapiga mkwara safari nyingine zisipoonesha mtanijua mimi nani siwambii tena tutaonana mahakamani maana ni haki yangu.. Mpaka leo haziwahi kutoonesha tena hata kifurushi kikiisha.
 
Nipe namba zao. Hivi mamlaka Zika wapi hata waamue kufanya hivi?. Ni laana hii kwa taifa hasa viongozi.
Pia ni kwa nini hao wenye free channel wasizitoe maana jamaa wanapitia mgongo wao kupata faida.
 
Satellite dish ni uelekeo tu wa dish linaangalia wapi, ila Azam unaweza tumia DStv/startimes/zuku and vice versa is true.
kwahiyo ukiwa ma dishi la Azam lakini decoda ni ya DStv au dishi DStv ila decoda ni Azam hakutokuwa na shida sio..sasa swali langu ikiwa dishi ni la Azam na decoda ni Dstv Je, ni channel zipi zitaonekana kwenye TV yangu je,ni channel za DStv au za Azam tv.?
 
Channel zitaonekana kulingana na kisimbusi na uelekeo wa dish lako, kama kisimbusi ni Azam utaona channel za Azam, kama ni DStv utaona channel za Dstv
 
Mbona kuna free channels hasa za dini Azam wamezifunga Hadi ulipie. Hii ni sawa na kama ukizitaka unafanyaje?.
  • Wamezifunga sababu wanataka uchangie gharama za uendeshaji wa mitambo yao.
  • Nini cha kufanya: Acha kutumia huduma zao, Kuwa mdau wa FTA (Initial cost huwa ni kbwa sana), Hizo channel za bure na utaendelea kuzipata bure ni wewe na fundi wako tu.
Pitia hizi thread utapata mwanga zaidi ninaposema kuwa Mdau wa FTA
  1. African Satellite World and Sat Gear
  2. Ulimwengu wa FTA Satellite TVs
  3. Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6
 
Back
Top Bottom