Je, naweza fungua akaunti Benki ya Dunia?

Je, naweza fungua akaunti Benki ya Dunia?

Huwezi kufungua account World bank.

Hata wafanyakazi wa world Bank hawana account ndani ya world bank.

Ila unaweza kua member wa world bank kwanza kwa kujiunga na IMF kama nchi na siyo mtu binafsi...

World bank ipo kwa ajili ya kushughulika na ma- benki siyo kwa shughuli za ki-benki

_____________________________________________________________________________________________________
1.World Bank provides various technical services to the member countries.

2. Bank can grant loans to a member country up to 20% of its share in the paid-up capital.

3. The quantities of loans, interest rate and terms and conditions are determined by the Bank itself.

4. Generally, Bank grants loans for a particular project duly submitted to the Bank by the member country.

5. The debtor nation has to repay either in reserve currencies or in the currency in which the loan was sanctioned.

6. Bank also provides loan to private investors belonging to member countries on its own guarantee, but for this loan private investors have to seek prior permission from those counties where this amount will be collected.

Cc: mahondaw
Kwahiyo wao wanapokea hela kutoka bank ndogo alafu wao wanakopesha tena
 
Nisaidie kuhahamu jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?
[emoji3][emoji3]
 
Nisaidie kuhahamu jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?
Kule wanatoa visa mkuu ndio umaenda nayo bank hisika mzigo unahamishwa tuu kutoka acout A. Kwenda B
 
Zile hela zao wanazokopesha wao wanazipataje.
Ukisema bank ndio wanapeleka huko hela zao je siku wanataka hiyo hela yao mle iakuwaje kama imekopeshwa
Kama umesoma vizuri nimeandika wanapata hizo hela kutokana na donations.
 
Mi nahitaji kujua kilipo kiwanda cha kutengeneza Hela tu basi....mengine nawaachia wenyewe
 
Naomba unielimishe jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?
Sina uhakika ila wanasema ni kwa kutumia Electronic Fund transfer pia local payment. Sasa hiyo local sijajua inakuwaje.
 
Mi nahitaji kujua kilipo kiwanda cha kutengeneza Hela tu basi....mengine nawaachia wenyewe
Kama sijakosea kipo uswis huko na kuna taratibu za kuagiza mzigo
 
Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.

Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa Afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu, je naweza/ruhusiwa kufungua acount benki ya dunia? ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze?
Duu mkuu umenivunja mbavu. Nadhani hii si athari mojawapo ya uvutaji sigara
 
Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.

Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa Afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu, je naweza/ruhusiwa kufungua acount benki ya dunia? ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze?
Benki ya Dunia ni taasisi ya kifedha ya kimataifa ambayo hutoa mikopo na ruzuku kwa serikali za nchi masikini kwa kusudi la kutekeleza miradi mitaji. 5] Inajumuisha taasisi mbili: Benki ya Kimataifa ya Kuijenga na Kuendeleza (IBRD), na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA). Benki ya Dunia ni sehemu ya Kikundi cha Benki ya Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika ila wanasema ni kwa kutumia Electronic Fund transfer pia local payment. Sasa hiyo local sijajua inakuwaje.

Nafikiri swali haliko sawa au na mimi pia sijaelewa vizuri.

Electronic Funds Transfer ni soft money, ambayo very likely itatakiwa kuwa accompanied na hard cash.

Je hii hela ina safiri vipi? Labda ndiyo swali la jamaa.

Swali kwako wa stendi, zile hela zetu zinazochapishwa nje na kutakiwa kuja nchini, unajua jinsi zinavyosafiri?
 
Hapana sijui. Pardon my ignorance, Hivi huwa zinachapishwa nje?
Mfano Tz sio kwamba zinachapishwa BOT?
 
Back
Top Bottom