Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wao wanapokea hela kutoka bank ndogo alafu wao wanakopesha tenaHuwezi kufungua account World bank.
Hata wafanyakazi wa world Bank hawana account ndani ya world bank.
Ila unaweza kua member wa world bank kwanza kwa kujiunga na IMF kama nchi na siyo mtu binafsi...
World bank ipo kwa ajili ya kushughulika na ma- benki siyo kwa shughuli za ki-benki
_____________________________________________________________________________________________________
1.World Bank provides various technical services to the member countries.
2. Bank can grant loans to a member country up to 20% of its share in the paid-up capital.
3. The quantities of loans, interest rate and terms and conditions are determined by the Bank itself.
4. Generally, Bank grants loans for a particular project duly submitted to the Bank by the member country.
5. The debtor nation has to repay either in reserve currencies or in the currency in which the loan was sanctioned.
6. Bank also provides loan to private investors belonging to member countries on its own guarantee, but for this loan private investors have to seek prior permission from those counties where this amount will be collected.
Cc: mahondaw
Kule wanatoa visa mkuu ndio umaenda nayo bank hisika mzigo unahamishwa tuu kutoka acout A. Kwenda BNisaidie kuhahamu jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?
Kama umesoma vizuri nimeandika wanapata hizo hela kutokana na donations.Zile hela zao wanazokopesha wao wanazipataje.
Ukisema bank ndio wanapeleka huko hela zao je siku wanataka hiyo hela yao mle iakuwaje kama imekopeshwa
Amebadilika anapiga vyuti Kama wewe
Kule hakunaga wezi Kama weweKama umesoma vizuri nimeandika wanapata hizo hela kutokana na donations.
Sina uhakika ila wanasema ni kwa kutumia Electronic Fund transfer pia local payment. Sasa hiyo local sijajua inakuwaje.Naomba unielimishe jinsi nchi inavyopokea fedha za Mikopo kutoka huko W.B Je hiyo Bank huwa inatuma Kontena la Ma Dollar B.O.T inayopokea au inakuwaje?
Usini-quote ujinga.Kule hakunaga wezi Kama wewe
Bangi za mchana (Jokes) [emoji3][emoji3][emoji3]Asante kaka,
Ukijibiwa na Mimi unijulishe nipeleke hela yangu ya matikiti maji. Ila sina hakika kama wanapokea Shilingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu mkuu umenivunja mbavu. Nadhani hii si athari mojawapo ya uvutaji sigaraNi taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.
Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa Afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu, je naweza/ruhusiwa kufungua acount benki ya dunia? ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze?
Benki ya Dunia ni taasisi ya kifedha ya kimataifa ambayo hutoa mikopo na ruzuku kwa serikali za nchi masikini kwa kusudi la kutekeleza miradi mitaji. 5] Inajumuisha taasisi mbili: Benki ya Kimataifa ya Kuijenga na Kuendeleza (IBRD), na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA). Benki ya Dunia ni sehemu ya Kikundi cha Benki ya Dunia.Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.
Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa Afrika labda hazina kiasi hicho cha hela yangu, je naweza/ruhusiwa kufungua acount benki ya dunia? ni vigezo gani labda vinatakiwa ili niweze?
Sina uhakika ila wanasema ni kwa kutumia Electronic Fund transfer pia local payment. Sasa hiyo local sijajua inakuwaje.
Hapana sijui. Pardon my ignorance, Hivi huwa zinachapishwa nje?Nafikiri swali haliko sawa au na mimi pia sijaelewa vizuri.
Electronic Funds Transfer ni soft money, ambayo very likely itatakiwa kuwa accompanied na hard cash.
Je hii hela ina safiri vipi? Labda ndiyo swali la jamaa.
Swali kwako wa stendi, zile hela zetu zinazochapishwa nje na kutakiwa kuja nchini, unajua jinsi zinavyosafiri?
Hapana sijui. Pardon my ignorance, Hivi huwa zinachapishwa nje?
Mfano Tz sio kwamba zinachapishwa BOT?