kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Atatakiwa kuripoti ktk chuo atachopangiwa na kufuata utaratibu wa kuahirisha masomo, kisha akatote taarifa HESLB. Mkopo utasitisha. Ataporudi chuoni kuanza masomo rasmi, atatakiwa kutoa taarifa HESLB ili apewe mkopo wake!
Mwakani ataomba upya kupitia tcu!
Atatakiwa kuripoti ktk chuo atachopangiwa na kufuata utaratibu wa kuahirisha masomo, kisha akatote taarifa HESLB. Mkopo utasitisha. Ataporudi chuoni kuanza masomo rasmi, atatakiwa kutoa taarifa HESLB ili apewe mkopo wake!
nafasi yake haitapotea kama umeahirisha chuo kwa kufuata utaratibu. kwa wataokosa chuo,wao wataomba chuo na mkopo upya]kwa mana hiyo nafasi haye huwa IPO kwa kipind chote hicho alichoombo kusitisha au ??? na kwale wanakosa Chuo nao inakuaje
nafasi yake haitapotea kama umeahirisha chuo kwa kufuata utaratibu. kwa wataokosa chuo,wao wataomba chuo na mkopo upya]
k thks VP. kaka mtambo. unaweza ukawa name namba ya cm ya mhusika yeyeto Wa pale TCU nipatie pls kama unayo na jina lake[/QU
unaahisha mwaka then uje uendelee na chuo hicho hicho ulichopangiwa???
Anaweza kufanya hivyo, mimi binafsi mwaka 2011 nilipangiwa chuo na program ambayo ilikuwa non priority, kutokana na hali ya maisha ikanilazimu kutokwenda chuoni.
Mwaka 2012 nikaomba priority programs nikapata na mkopo juu, 100%. TCU walitoa tangazo kuwa, ikiwa mtu alishindwa kureport chuo 2011 na anategemea kujiunga 2012, aandike barua na kuelezea kwanin hakureport na atakabiliana vipi na changamoto zilizomkwamisha 2011.
Niliandika barua na kuwaelezea kuwa tatizo lilikuwa pesa, nikawaambia this time ntaomba priority programs tu, kisha nikapata.
lakn tayar 2011 ulikuwa umeandika barua kwenye chuo husika ulichokuwa umepangiwa?