Je! naweza Kuahirisha mwaka wa masomo kama nimechaguliwa?

kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
2,273
Reaction score
1,703
Habar zenu wanajamvi?

kuna rafik yangu yeye kaomba chuo mwaka huu -2014, sasa anauliza kama kuna uwezekano wa kuahirisha mwaka wa masomo,aanze mwakani {2015/2016;je! ataweza kukubaliwa? na je! mkopo utabakia pale pale au utafutwa?
 
Atatakiwa kuripoti ktk chuo atachopangiwa na kufuata utaratibu wa kuahirisha masomo, kisha akatote taarifa HESLB. Mkopo utasitisha. Ataporudi chuoni kuanza masomo rasmi, atatakiwa kutoa taarifa HESLB ili apewe mkopo wake!
 
nashukuru kwa ufafanuzi mzuri.
 
Atatakiwa kuripoti ktk chuo atachopangiwa na kufuata utaratibu wa kuahirisha masomo, kisha akatote taarifa HESLB. Mkopo utasitisha. Ataporudi chuoni kuanza masomo rasmi, atatakiwa kutoa taarifa HESLB ili apewe mkopo wake!

kwa mana hiyo nafasi haye huwa IPO kwa kipind chote hicho alichoombo kusitisha au ??? na kwale wanakosa Chuo nao inakuaje
 
nafasi yake haitapotea kama umeahirisha chuo kwa kufuata utaratibu. kwa wataokosa chuo,wao wataomba chuo na mkopo upya]
 
k thks VP. kaka mtambo. unaweza ukawa name namba ya cm ya mhusika yeyeto Wa pale TCU nipatie pls kama unayo na jina lake
 
k thks VP. kaka mtambo. unaweza ukawa name namba ya cm ya mhusika yeyeto Wa pale TCU nipatie pls kama unayo na jina lake[/QU
unaahisha mwaka then uje uendelee na chuo hicho hicho ulichopangiwa???
 
Kila siku mambo yanabadilika yani kwa iyo it's better uxome nw cz utakuta mwakani viwango vinaongezeka ulivyo navyo mwaka uhuu vikawa avikidhi wanavyo viitaji kasome tu
 
hvi unaeza ukawa umechaguliwa kusoma kitu flni kati ya ulivoomba...kwa mwaka huu halaf ikifika Tena mda wa kuoomba chuo tena kama mwakani...ukaachana na hii ukaomba tena course nyingne??
 
Mmmm! majanga jamani wahanga wa tcu sisi ww acha 2..yaani mambo c mambo..daa ila poa mungu atusaidie tusi patwe na kadhia ya kuahirisha mwaka wa masomo..maana life is unpredicable thz yr can happen thz &another yr can hapen that..GOD BLESS US AMEN!
 
Anaweza kufanya hivyo, mimi binafsi mwaka 2011 nilipangiwa chuo na program ambayo ilikuwa non priority, kutokana na hali ya maisha ikanilazimu kutokwenda chuoni.

Mwaka 2012 nikaomba priority programs nikapata na mkopo juu, 100%. TCU walitoa tangazo kuwa, ikiwa mtu alishindwa kureport chuo 2011 na anategemea kujiunga 2012, aandike barua na kuelezea kwanin hakureport na atakabiliana vipi na changamoto zilizomkwamisha 2011.

Niliandika barua na kuwaelezea kuwa tatizo lilikuwa pesa, nikawaambia this time ntaomba priority programs tu, kisha nikapata.
 
lakn tayar 2011 ulikuwa umeandika barua kwenye chuo husika ulichokuwa umepangiwa?
 
Back
Top Bottom