Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
 
Haiwezekani, ili upate bumu ni hadi usign kwa loan officer wa chuo.
 
Back
Top Bottom