Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...

Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea maneno mawili matatu ya kiingereza.
 
unaweza kusomea Shahada ya Uzamivu (PhD) kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Hii inategemea zaidi misingi ya utafiti wako na sera za chuo kikuu husika.
 
Labda aliyofanya Samia
 
Vipi Masters umefanya kwa kiswahili?
 
unaweza kusomea Shahada ya Uzamivu (PhD) kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Hii inategemea zaidi misingi ya utafiti wako na sera za chuo kikuu husika.
Akamuulize prof mutembei pale taasisi ya kiswahili atapata jawabu
 
Back
Top Bottom