unaweza kusomea Shahada ya Uzamivu (PhD) kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Hii inategemea zaidi misingi ya utafiti wako na sera za chuo kikuu husika.Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea maneno mawili matatu ya kiingereza.
Labda aliyofanya SamiaYaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea maneno mawili matatu ya kiingereza.
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea maneno mawili matatu ya kiingereza.
Akamuulize prof mutembei pale taasisi ya kiswahili atapata jawabuunaweza kusomea Shahada ya Uzamivu (PhD) kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Hii inategemea zaidi misingi ya utafiti wako na sera za chuo kikuu husika.