Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Mkuu vipi umeshafanikiwa? au bado upo kwenye foleniHakuna hiyo kitu, hata nssf portal tu siku hizi haifanyi kazi tena, ni mwendo wa foleni kwenye kidirisha, hayo ndiyo mambo yetu wabongo.
Mkuu kwema, hii update imekaaje uwezekano upo maana ofisi zao zina usumbufu sanaWakuu,
Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails.
Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao.
Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia?
Attachment nilizonazo: Certificate of Service, NSSF ID card, kadi ya Nida, Barua rasmi ya end of contract, Fomu ya Bank iliyosainiwa na Bank husika.
Pia nimesha create account kwenye NSSF portal.
Karibuni
Vip mkuu washaweka mzigo,,Itakua sehemu uliyofungulia wana matatizo..mimi nilifungulia kibaha tarehe 4 August,jana nimeweka fingerprint nasubiri tu mpunga uingie