Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu.

Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?!

Ahsante.
Wewe ni jinsia gani kwanza?
 
Unaish bila wasi ila kaish mbagala, kkoo na mansense na jitahd umilik baiskel kwajili ya harakat za hapa na pale ilikupunguz nauli hapa na pale ili ukishi kitajili hapo perday yako n 10,000/- kama kaz yako itakuw haina posho

Karbu sana jijin kila ktu kipo kasoro cha Buree

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Hewa ya Oxygen si ni bure Mkuu au ninyi wenzetu huko mnalipia?.
 
bila shaka unasikiasikia story za kidimbwi,juliana, next door, 777, nk basi usisogee kabisa hayo maeneo....

Dar ni sehemu rahisi sana kuishi ila inategemea na wewe mwenyewe tu uchaguzi wako...
tafuta chumba cha 30k ishi kibaharia tu godoro chini...hakuna mbwembwe...
piga kaza mwaka nunua bodaboda...muda wako wa ziada kamata vichwa....hiyo hiyo unaenda nayo job unakula vichwa.....nina hakika kwa formula hiyo ndani ya 5yrs utakuwa sio wewe..
Unajua jinsia yake ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu.

Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?!

Ahsante.
Dar kuna maisha ya level tofauti, inategemea unataka maisha ya level gani.
Kuna watu wanaishi kwa mshahara wa 100000 na wameoa na wana watoto.
 
Utaishi tena maisha ya amani sanaaa, kuliko hata mwenye take home ya zaidi ya 5k aloko dsm

nakutabiria utatoboa maisha hadi utakuja kutuelimishaaa

pia anzisha kabiashara ka kuuza karanga apo utakapoishi na nyingine peleka ofisini wauzie wenzioo ... kg = 3500 (brand nzurii) ukifunga kwa mifuko na kuongeza thamani kwenye kg 1 utapata faida ya buku 2.

2000*21 (siku za kazi) = 40,000 --- hiii inakutosha matumizi madogomadogo

hahaaaa welcome bongo landiii
Shukrani sana mkuu
 
bila shaka unasikiasikia story za kidimbwi,juliana, next door, 777, nk basi usisogee kabisa hayo maeneo....

Dar ni sehemu rahisi sana kuishi ila inategemea na wewe mwenyewe tu uchaguzi wako...
tafuta chumba cha 30k ishi kibaharia tu godoro chini...hakuna mbwembwe...
piga kaza mwaka nunua bodaboda...muda wako wa ziada kamata vichwa....hiyo hiyo unaenda nayo job unakula vichwa.....nina hakika kwa formula hiyo ndani ya 5yrs utakuwa sio wewe..
Vyumba vya Elfu 30 vinapatikana upande gani Dar?!
 
Mimi Mshahara wangu hauna kima maalum unacheza 160,000 mpaka 180,000.

Naishi sio vizuri ila mambo yangu yanaenda naishi na kufanya Saving vizuri, na save mpaka 100,000 na hii ndio ajira yangu ya kwanza na nategemea iwe ajira yangu ya mwisho, mapaka mwezi wa nne nategemea kuwekeza Biashara ya mtaji wa 1.3M ...I mean ninauwezo mkubwa wa kupata mtaji na kuyafanya mitikasi kibao.

Wakina sie tuliowai kuishi bila kuingiza 100 kwa siku 170,000 inatosha sana.
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom