Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

Kumudu inategemea unaishi eneo gani! Kwa kinondoni hutaweza ila kwa Ilala walau unaweza na kwa Temeke ndio uhakika kabisa😅
 
Kuna kale ka msemo kuwa biashara zote zinalipa ila tu ukiwa unasimuliwa. Kafanye sasa
 
Apate 300,000 na saving iwe 270,000!! Matumizi kwa mwezi 30,000 meaning
  • Hali dinner assuming anapewa chakula kazini
  • Hanywi maji
  • Hanunui sabuni
  • Hanunui mafuta ya kujipaka
  • Hanunui vocha ya simu
  • Hanunui mshumaa
  • Nauli
Analeta usanii[emoji16]
 
Hahahahah noma baab uliuza sana utu for a living?
Acha tu mkuu, nilikuwa sijui stress maana yake ni nini. Ushauri wa wengi ulikuwa toka kwenye hiyo nyumba kapange chumba cha elfu hamsini kwanza ili ujipange. Fikiria kutoa vitu vyako kwenye nyumba ya laki tatu ambavyo ni vyingi unde kuvipanga kwenye chumba cha 50, haya maisha haya
 
Ulikuwa Una lipa au unalipiwa?
Nalipa mwenyewe kwa mishe zangu. Tena mwenye nyumba anataka kwa miezi sita. Amini kila jambo linawezekana ila tu kama ukikaza na ukaze kwelikweli
 
Unaweza but unapofanya kazi pawe jirani na unapokaa,vyakula inabidi ubalance sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…