Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

Utaishi miez nane ya kujibana au mwaka halafu mwaka unaofata utakua sawa
 
Hakikisha sehemu utakayoishi na pahali pa kufanya hiyo kazi pawe ni karib ili uweze ku~save pesa ya nauli, itakusaidia kwa namna moja ama nyengine…

N.B usiwe mtu wa totoz utapata tabu sana…
 
Karibu Dar kila kitu kipo kasoro akili tu, sasa urogwe uje bila akili ndio utajua hujui
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile...Dsm kwa laki unaweza kuishi Ila labda uwe na sehemu ya kuishi bure iyo pesa uielekeze kwenye chakula tu na nauli
 
-Ili ukae kwa Raha hapa mjini usiwe nq Dem mademu wanamaliza hela Sana, hebu fikiria mwenzako anataka kila wiki asuke nywele za 30,000 kwa mwezi 120,000/- halafu ww kipato chako 300,000/-
-Chukua kadi ya uanachama wa CHAPUTA.
 
Mbona nimeishi kwa 3,000,000/! tu take home!!Hapo hakuna over time, hapo nilikuwa na Diploma! na sasa 14 M. Jiwe kapunguza weee!! nikaachana na sirikali yao! na sasa niko juu zaidi!
 
Unamaanisha kwa sasa unakula 14 millions kwa mwezi?!
 
Mbona nimeishi kwa 3,000,000/! tu take home!!Hapo hakuna over time, hapo nilikuwa na Diploma! na sasa 14 M. Jiwe kapunguza weee!! nikaachana na sirikali yao! na sasa niko juu zaidi!
Duuu kweli wengine tulikuja kusindikiza au

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…