Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Mmmmh
unakoenda siko.
Nimeipenda sana hiyo kauli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh
unakoenda siko.
Wadau habari hapa jamvini
Mimi nauliza swali je mtu anaetumia ARV anaweza kugundulika kwa dalili zipi??
wanamuandiko kama wako....:mvutaji:Wadau habari hapa jamvini
Mimi nauliza swali je mtu anaetumia ARV anaweza kugundulika kwa dalili zipi??
Kwa hiyo wale wanyanyua vitu vizito na wanamieleka wanatumia ARV?Kuna watu wanaweza kuwa na Cushing syndrome na hivyo kuwa na kibiongo (Buffalo torso), hivyo si sababu tosha ya kusema mtu anatumia dawa za ARV.