Je naweza kumjua mtu anaetumia arv

Wadau habari hapa jamvini
Mimi nauliza swali je mtu anaetumia ARV anaweza kugundulika kwa dalili zipi??

Hii thread haina maana wewe tafuta wako mkapime muanze kula vitu, uaminifu ukiwa kipaumbele, achana na mawazo mgando ya kunyanyapaa watu!!
 
unataka kunijua ili unitangazee sio
 
Utamjua tu kwa udodosaji wa habari kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…