Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, kweli elimu ya siku hizi ni shida. Shule uliyosoma mlikuwa hamlimi eeh? Muulize dingi wako kilimo mseto ni nini?habari.wana jamvi. nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi.kwa pamoja.ndani. ya shamba.moja yani.kwa mfano. apa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
The three crops benefit from each other.[7] The maize provides a structure for the beans to climb, eliminating the need for poles. The beans provide the nitrogen to the soil that the other plants use, and the squash spreads along the ground, blocking the sunlight, helping prevent the establishment of weeds. The squash leaves also act as a "living mulch", creating a microclimate to retain moisture in the soil, and the prickly hairs of the vine deter pests.
Hongera kukulia getini na private schools. Kule kwetu kijijini kwa bibi ni lazima msimu wa kupanda maharage na mahindi viende sambamba. Utaanza kuvuna maharagwe na mahindi yatafuatia baadae.habari.wana jamvi. nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi.kwa pamoja.ndani. ya shamba.moja yani.kwa mfano. apa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
Hilo sio jibu.Tuliza munkali mjibu vizuri maana watu hatufanani.Aisee, kweli elimu ya siku hizi ni shida. Shule uliyosoma mlikuwa hamlimi eeh? Muulize dingi wako kilimo mseto ni nini?
Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazeeAisee, kweli elimu ya siku hizi ni shida. Shule uliyosoma mlikuwa hamlimi eeh? Muulize dingi wako kilimo mseto ni nini?
Mzee nimezaliwa town sio wakishua mijini mashamba yana toka.wapi Mzee wangu.sema saizi nimeingia kwenye kilimo,Watoto wa kishua na wenyew wameanza kulima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi toka nakua naona wazee wanalima mtindo huo
Shukhurani mzeekuna kitu kinaitwa the three sisters.... soma hapa chini kwanza
![]()
Three Sisters (agriculture) - Wikipedia
en.wikipedia.org
In short unapanda mahindi, maharage na maboga....
Anyway maharage ni nitrogen fixing (ina bacteria ambao wana-absorp nitrogen kutoka kwenye atmophere) hivyo kuongeza mbolea ambayo mahindi yatafaidi...
Kwa maelezo zaidi soma kuhusu companion planting...
Nimekulia mjini Mzee sina ushua wowote sio unaelew town kumiliki mashamba kipengele.Hongera kukulia getini na private schools. Kule kwetu kijijini kwa bibi ni lazima msimu wa kupanda maharage na mahindi viende sambamba. Utaanza kuvuna maharagwe na mahindi yatafuatia baadae.
Ona hii picha mkuuisije maharage yana kubali muhindi unagoma
Hata likizo mlikuwa jampelekwi kijijini kulima kwa babu na bibi au na wao wamehamia mjini?Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazee
zingatia spacing,Ni jambo zuri maanamaharage yana uwezo wa kutengeza udongo uwe na rutuba zaidi.so YEShabari wanajamvi,
Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
Kuna ulimaji nimeuona kwa wamalila mbalizi mbeya, sijawahi ujaribu.Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazee