Je, naweza kupanda maharage na maindi kwa pamoja?

allypipi

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2020
Posts
3,233
Reaction score
10,563
habari wanajamvi,

Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
 
habari.wana jamvi. nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi.kwa pamoja.ndani. ya shamba.moja yani.kwa mfano. apa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
Aisee, kweli elimu ya siku hizi ni shida. Shule uliyosoma mlikuwa hamlimi eeh? Muulize dingi wako kilimo mseto ni nini?
 
Watoto wa kishua na wenyew wameanza kulima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi toka nakua naona wazee wanalima mtindo huo
 
kuna kitu kinaitwa the three sisters.... soma hapa chini kwanza

In short unapanda mahindi, maharage na maboga....
The three crops benefit from each other.[7] The maize provides a structure for the beans to climb, eliminating the need for poles. The beans provide the nitrogen to the soil that the other plants use, and the squash spreads along the ground, blocking the sunlight, helping prevent the establishment of weeds. The squash leaves also act as a "living mulch", creating a microclimate to retain moisture in the soil, and the prickly hairs of the vine deter pests.

Anyway maharage ni nitrogen fixing (ina bacteria ambao wana-absorp nitrogen kutoka kwenye atmophere) hivyo kuongeza mbolea ambayo mahindi yatafaidi...

Kwa maelezo zaidi soma kuhusu companion planting...
 
Inafaa tena maharage yanachangia kuongeza rutuba shambani
 
habari.wana jamvi. nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi.kwa pamoja.ndani. ya shamba.moja yani.kwa mfano. apa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
Hongera kukulia getini na private schools. Kule kwetu kijijini kwa bibi ni lazima msimu wa kupanda maharage na mahindi viende sambamba. Utaanza kuvuna maharagwe na mahindi yatafuatia baadae.
 
Aisee, kweli elimu ya siku hizi ni shida. Shule uliyosoma mlikuwa hamlimi eeh? Muulize dingi wako kilimo mseto ni nini?
Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazee
 
kuna kitu kinaitwa the three sisters.... soma hapa chini kwanza

In short unapanda mahindi, maharage na maboga....

Anyway maharage ni nitrogen fixing (ina bacteria ambao wana-absorp nitrogen kutoka kwenye atmophere) hivyo kuongeza mbolea ambayo mahindi yatafaidi...

Kwa maelezo zaidi soma kuhusu companion planting...
Shukhurani mzee
 
Hongera kukulia getini na private schools. Kule kwetu kijijini kwa bibi ni lazima msimu wa kupanda maharage na mahindi viende sambamba. Utaanza kuvuna maharagwe na mahindi yatafuatia baadae.
Nimekulia mjini Mzee sina ushua wowote sio unaelew town kumiliki mashamba kipengele.
 
isije maharage yana kubali muhindi unagoma
Ona hii picha mkuu
Ni ya mwaka jana.
Tena mahindi yalibebana mawili mawili..mazuri mno.

Hiki kilimo hakijaanza Jana.Ni tangu zamani.
Humo kuna mchanganyiko wa maharage na mahindi.
Screenshot_20210217-185344.jpg
 
Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazee
Hata likizo mlikuwa jampelekwi kijijini kulima kwa babu na bibi au na wao wamehamia mjini?
 
habari wanajamvi,

Nataka kujua kama naweza kupanda maharage na mahindi kwa pamoja ndani ya shamba moja. Yaani kwa mfano, hapa nimepanda mhuindi na apa maharage sehemu moja aiwezi kuleta shida.
zingatia spacing,Ni jambo zuri maanamaharage yana uwezo wa kutengeza udongo uwe na rutuba zaidi.so YES
 
Mzee nimekulia mseto mie sema nimezaliwa mjini sio unaelewa kuwa na shamba mjini kwa washua ni ngumu sasa mimi kama Mimi nimejitosa kwenye kilimo so ndo naitaji utalamu zaidi isije muindi unakubali harage linakataa wazee
Kuna ulimaji nimeuona kwa wamalila mbalizi mbeya, sijawahi ujaribu.
Unapanda mahindi yakianza kukauka unatoa majani ya chini ya muhindi kisha unapanda maharage mle kwenye matuta ya mahindi.Angalizo, kilimo hicho kinafaa sehemu ambazo mvua inakata mwezi wa 4 ila ni kilimo chenye tija kuliko kuchanganya maharage na mahindi kwa mpigo4 pamoja.
 
Back
Top Bottom