Je naweza kupandikiziwa korodani (P"mbu) mpya

Je naweza kupandikiziwa korodani (P"mbu) mpya

sidhani kama hizo korodan kama zinafanya kazi mpaka sasa.angejaribu kufanya uzalishaji mwingine tofauti na watoto kwani hata wakina kaoge,James delicios,raybayb na akina dan mtoto wa mama walizariwa na watu wenye korodani zinazofunction.huenda angekuwa na korodan nzima angezaa wasiohitajika kama watajwa hapo juu kwa hiyo kumshukuru mungu kunamuhusu
Mhhhh kama sijakupata vzur vile...OK shukran
 
Pole sana kwake, sasa kwa nijuacho korodani haitakiwi kukaa juu kwa sababu ya jotoridi lililoko huko juu kwa sababu ya joto zinaharibika.
Labda apate ushauri kutoka experts wa masuala hayo ya urology etc ili wampe technical concepts

Poleni sana sana
Asante
 
Kuhusu kupandikiza mpya, hilo hakuna duniani kote, hata wanaofikia hatua ya kuziondoa au kufanyiwa matibabu ya mionzi na mengine kama hayo kwenye testicles ambayo yanamadhara kwa ubora wa sperms, huwa wanashauriwa kutunza sperms zao hospitali (sperm banks) kwa matumizi ya baadaye.

Sasa huyo mdogo wetu, maelezo yanaoneshi status ya testicles kwa sasa, huenda hata ziliishakufa na hazina kitu ndani, kama zingekuwa nzima huko juu bado kuzishusha inawezekana na zikaendelea kupiga kazi. Uhakika wa kukuta nzima ni asilimia sifuri point something.
Duuuuh Hatari....!!!!
 
Sasa hata km inawezekana hizo pumbu anazitoa wapi??maana kila mtu aliemzima anakazi nazo.daah pumbu hivi unazitoa wapi??poleni sana
 
Sasa hata km inawezekana hizo pumbu anazitoa wapi??maana kila mtu aliemzima anakazi nazo.daah pumbu hivi unazitoa wapi??poleni sana
Mi nilidhan zinaweza kuwepo maana kuna Operations za ,kizazi kwa mwanamke nikafahamu na Mme anaweza badilisha pumb...
 
Back
Top Bottom