Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh kama sijakupata vzur vile...OK shukransidhani kama hizo korodan kama zinafanya kazi mpaka sasa.angejaribu kufanya uzalishaji mwingine tofauti na watoto kwani hata wakina kaoge,James delicios,raybayb na akina dan mtoto wa mama walizariwa na watu wenye korodani zinazofunction.huenda angekuwa na korodan nzima angezaa wasiohitajika kama watajwa hapo juu kwa hiyo kumshukuru mungu kunamuhusu
AsantePole sana kwake, sasa kwa nijuacho korodani haitakiwi kukaa juu kwa sababu ya jotoridi lililoko huko juu kwa sababu ya joto zinaharibika.
Labda apate ushauri kutoka experts wa masuala hayo ya urology etc ili wampe technical concepts
Poleni sana sana
Duuuuh Hatari....!!!!Kuhusu kupandikiza mpya, hilo hakuna duniani kote, hata wanaofikia hatua ya kuziondoa au kufanyiwa matibabu ya mionzi na mengine kama hayo kwenye testicles ambayo yanamadhara kwa ubora wa sperms, huwa wanashauriwa kutunza sperms zao hospitali (sperm banks) kwa matumizi ya baadaye.
Sasa huyo mdogo wetu, maelezo yanaoneshi status ya testicles kwa sasa, huenda hata ziliishakufa na hazina kitu ndani, kama zingekuwa nzima huko juu bado kuzishusha inawezekana na zikaendelea kupiga kazi. Uhakika wa kukuta nzima ni asilimia sifuri point something.
Umri wake miaka 20 tayari ana mke!!!??Ndiyo kama kawaida na ana mke ...sema kasheshe ni kupata mtoto
Sasa mbona hio kasheshe hujaitaja mwanzoni.Ndiyo kama kawaida na ana mke ...sema kasheshe ni kupata mtoto
Mi nilidhan zinaweza kuwepo maana kuna Operations za ,kizazi kwa mwanamke nikafahamu na Mme anaweza badilisha pumb...Sasa hata km inawezekana hizo pumbu anazitoa wapi??maana kila mtu aliemzima anakazi nazo.daah pumbu hivi unazitoa wapi??poleni sana
Wapi huko au Kanda ya ziwa kwa wafugaji ambao hawapeleki watoto shuleni?Huku kwetu kawaida sana