Je, naweza kupata gari la milioni 5 za madafu

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Wakubwa nauliza upo uwezekano wa kupata gari dogo tu la kutembelea toka JAPAN kwa tsh milioni 5 pamoja na ushuru wa TRA
 
Kwahio hela lenga kwa mtu hapahapa bongo utajiopolea chombo safi Hata ukipata D ya mwanzoni sio kesi ilimradi Body iwe imenyooka na Mashine ilio katika ubora wake.

Gari ni nyingi sana hapa bongo kiasi kwamba sioni sababu ya kuagiza nje hasa ikiwa hela yako ya kuunga unga na still watu wanapigika mbaya wanahitaji ela za ada mwezi huu!
 
Naunga mkono hapa hapa bongo unapata gari used imenyoka kabisa sema usiwe na papara taratibu
Kwahio hela lenga kwa mtu hapahapa bongo utajiopolea chombo safi Hata ukipata D ya mwanzoni sio kesi ilimradi Body iwe imenyooka na Mashine ilio katika ubora wake.

Gari ni nyingi sana hapa bongo kiasi kwamba sioni sababu ya kuagiza nje hasa ikiwa hela yako ya kuunga unga na still watu wanapigika mbaya wanahitaji ela za ada mwezi huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio hela lenga kwa mtu hapahapa bongo utajiopolea chombo safi Hata ukipata D ya mwanzoni sio kesi ilimradi Body iwe imenyooka na Mashine ilio katika ubora wake.

Gari ni nyingi sana hapa bongo kiasi kwamba sioni sababu ya kuagiza nje hasa ikiwa hela yako ya kuunga unga na still watu wanapigika mbaya wanahitaji ela za ada mwezi huu!
Huyu asubirie kuanzia tarehe 15 hadi 25 mwezi huu kwa hio hela yake anaweza pata chuma kikali sana
 
Back
Top Bottom