Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sichagui sibagui nataka gari lolote ilimradi litoke JapanHakuna kitu kama hicho Mkuu Kwa hiyo milion 5 huwezi kupata gari toka japani na ushuru wake uwe ndani ya hiyo pesa!!!!
Kama vipi tafuta used ya mmbongo utapata
Hapana... huwezi pataWakubwa nauliza upo uwezekano wa kupata gari dogo tu la kutembelea toka JAPAN kwa tsh milioni 5 pamoja na ushuru wa maTRA
Kwahio hela lenga kwa mtu hapahapa bongo utajiopolea chombo safi Hata ukipata D ya mwanzoni sio kesi ilimradi Body iwe imenyooka na Mashine ilio katika ubora wake.
Gari ni nyingi sana hapa bongo kiasi kwamba sioni sababu ya kuagiza nje hasa ikiwa hela yako ya kuunga unga na still watu wanapigika mbaya wanahitaji ela za ada mwezi huu!
Mimi pia nilikamata chombo imesimamia ukucha.Naunga mkono hapa hapa bongo unapata gari used imenyoka kabisa sema usiwe na papara taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu asubirie kuanzia tarehe 15 hadi 25 mwezi huu kwa hio hela yake anaweza pata chuma kikali sanaKwahio hela lenga kwa mtu hapahapa bongo utajiopolea chombo safi Hata ukipata D ya mwanzoni sio kesi ilimradi Body iwe imenyooka na Mashine ilio katika ubora wake.
Gari ni nyingi sana hapa bongo kiasi kwamba sioni sababu ya kuagiza nje hasa ikiwa hela yako ya kuunga unga na still watu wanapigika mbaya wanahitaji ela za ada mwezi huu!
Labda la cc200 uliza google kama lipoSichagui sibagui nataka gari lolote ilimradi litoke Japan
Uliza na weweLabda la cc200 uliza google kama lipo
Kweli kabisa. Nashukuru mungu landlord nimemalizana nae 😂😂😂Huyu asubirie kuanzia tarehe 15 hadi 25 mwezi huu kwa hio hela yake anaweza pata chuma kikali sana
Watu wanataka kulipa kodi za apartment na ada za michepuko vyuoni....utaweza ukakamata gari safi sana kwa pesa ambayo hukutegemea...Huyu asubirie kuanzia tarehe 15 hadi 25 mwezi huu kwa hio hela yake anaweza pata chuma kikali sana