Je naweza kupata huduma ya E-sim kwa simu ya namna hii?

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,323
Reaction score
1,608
Habari waungwana!

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini.

Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo.

Karibuni kwa msaada tafadhari!
 
Uwe unatembelea gsmarena.com
 
Kujua kama ina e sim bonyeza *#06#
 
S/N ni serial number..mkuu?
Nimebonyeza hiyo namba, mwishoni nimekutana na s/n
yangu mkuu imeleta imei 1, imei 2 na psn apo nitajuaje kama inasuport e sim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…