Je, naweza kusoma Masters ya Hesabu au Statistics?

mk

boss hivi ni kweli mtu yeyote anaweza kusoma MSc applied statistics ya udsm, sio kweli mi nafkiri hiyo ni special kwa ajili ya wenye bsc statistics/mathematics/engineering maana kozi zake kama ulivyosema wanashare kabisa...ishu za bayesian,multivariate analysis yaan ni hesabu za viwango vya juu saan
 
Mimi nilisoma BSc ed (math and geog) ,je siruhusiwi kuchukua theory of statistics why iwe applied tu mkuu, nipe shule kidogo
 
Mkuu Uptown_tz kuna fursa gani umeichungulia kwenye MSc Mathematics hadi umetaka kudiverge kutoka kwenye LMV. Tutoe tongotongo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…