Je, naweza kusoma Masters ya Hesabu au Statistics?

Je, naweza kusoma Masters ya Hesabu au Statistics?

mk
Kuna pathway mbili, pathway ya Kwanza msc in statistics (theory) ambayo lazima uwe na first degree majoring in statistics, pathway ya pili Ni msc in statistics (applied ) ambayo mtu yoyote anaweza kusoma. Cha kushangaza kozi nying utakazo Soma unaweza share na wa theory pathway,NB huko juu nikasema kwa mtu ambaye Hana msingi wa hesabu huko juu department itamlazimu ahame hii kozi sababu itamtesa, lakin kwenye criteria haijasema View attachment 1463884

boss hivi ni kweli mtu yeyote anaweza kusoma MSc applied statistics ya udsm, sio kweli mi nafkiri hiyo ni special kwa ajili ya wenye bsc statistics/mathematics/engineering maana kozi zake kama ulivyosema wanashare kabisa...ishu za bayesian,multivariate analysis yaan ni hesabu za viwango vya juu saan
 
Ulisoma kozi gani? Kama unataka masters ya statistics lazima degree ya kwanza uwe umesoma statistics au hesabu au actuarial science, computer science majoring in Statistics, ambapo kwa mtu mwenye bachelor ya math anakigezo Cha kusoma applied Statistics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilisoma BSc ed (math and geog) ,je siruhusiwi kuchukua theory of statistics why iwe applied tu mkuu, nipe shule kidogo
 
Mkuu Uptown_tz kuna fursa gani umeichungulia kwenye MSc Mathematics hadi umetaka kudiverge kutoka kwenye LMV. Tutoe tongotongo mkuu.
 
Back
Top Bottom