mteule senior
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 293
- 196
mk
boss hivi ni kweli mtu yeyote anaweza kusoma MSc applied statistics ya udsm, sio kweli mi nafkiri hiyo ni special kwa ajili ya wenye bsc statistics/mathematics/engineering maana kozi zake kama ulivyosema wanashare kabisa...ishu za bayesian,multivariate analysis yaan ni hesabu za viwango vya juu saan
Kuna pathway mbili, pathway ya Kwanza msc in statistics (theory) ambayo lazima uwe na first degree majoring in statistics, pathway ya pili Ni msc in statistics (applied ) ambayo mtu yoyote anaweza kusoma. Cha kushangaza kozi nying utakazo Soma unaweza share na wa theory pathway,NB huko juu nikasema kwa mtu ambaye Hana msingi wa hesabu huko juu department itamlazimu ahame hii kozi sababu itamtesa, lakin kwenye criteria haijasema View attachment 1463884