Je!naweza kuunganisha floot swith 3 kwenye pump moja?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Yaani nina karo la maji nimechimba chini nimeunganishia gutter zote za nyumba na maji ya kisima chani nimetoboa , na hili karo linajaa maji lita laki 3

Sasa nina ma tank 2 juu nimeweka ya lita efu 5 tano yako kwenye towel yake sasa nataka hapa chini nifunge pump (surfes pum) alafu huku juu kila tank niweke floot swit ambayo itaopereti hii pump kulingana na tank litakalowahi kuisha maji.Yaani nataka hii pump iwe inajiwasha na kujizima kila ikijaza maji bila mimi kuwashana kuzima.

Vile vile huku kwenye karo chini nako nataka niweke floot swith ingine ambayo ndio itaruhusu hii pump iweze kubali au kataa kama maji hakuna endapo ma tank ya juu yanahitaji maji kutoka kwenye karo je ,itawezekana hii sayansi?
 
Inawezekana.

1. Solenoid valve za kuruhusu maji kuingia kila tenki. Kwamba float switch inayoona tenki lake linahitaji maji, iwashe pump na kuifungua valve inayolisha tenki husika

2. Pipes toka kwenye tenki la underground kuja kwenye kila tenki

3. Float switch ya kwenye underground tenki, iwe inaaruhusu pump kuwaka endapo tu tenki hilo lina maji

Leta kazi nikudizainie circuit na ukitaka hadi installation
 
Boss wa @TTCL mzima wewe?

Nimejaza fomu ya kufungiwa faiba tangu mwaka 2022 mpaka leo naona kimya
 
Inawezekana.

1. Solenoid valve za kuruhusu maji kuingia kila tenki. Kwamba float switch inayoona tenki lake linahitaji maji, iwashe pump na kuifungua valve inayolisha tenki husika

2. Pipes toka kwenye tenki la underground kuja kwenye kila tenki

3. Float switch ya kwenye underground tenki, iwe inaaruhusu pump kuwaka endapo tu tenki hilo lina maji

Leta kazi nikudizainie circuit na ukitaka hadi installation
Fafanua vizuri hapo mkuu
 
Bei ipoje?

20250826_180032.jpg
 
Ukifanya kila kitu automatically watoto watakosa cha kufanya mkuu, hivyo watakua mayai mayai.

Mimi nilipanda maua ili tu watoto wafanye kazi ya kumwagilia.
 
Fafanua vizuri hapo mkuu
Nitafafanua kwa kutumia block diagram hii hapa chini

1756221271079.png

1. Una float swict nne, kila tenki ina moja.

2. Float switch zinazoweza kuwasha pump ni FL2, FL3 na FL4. na hizo float switch wakati zinawasha pump, vilevile kila moja itafungua valve inayoingiza maji kwenye tenki lake.

3. Float switch namba 1 (FL1) kazi yake ni kuhakikisha maji yapo kwenye underground tank na ndipo iruhusu pump kuwaka endapo itawashwa na float switch yoyote kati ya FL2, FL3 na FL4 au, mbili au zote. Yoyote kati ya hizo tenki lake likijaa, itafunga tenki husika kupitia solenoid valve na kuondoa signal yake ya kuwasha pump. Hivyo kama kutakuwa na float switch nyingine imeruhusu pump kutembea, basi itabaki hiyo.

4. Endapo maji kwenye underground tenk yatakuwa yameisha, float switch number 1 (FL1) haitaruhusu pump kutembea, maana kutembeza pump wakati hakuna maji ya kuya-pump utauwa pump (CAVITATION)

5. Huo mstari mweusi unawakilisha bomba za maji, na hiyo mishale inaonyesha uelekeo wa maji
 
Kila kitu kinawezekana
Nifundi
Inawezekana.

1. Solenoid valve za kuruhusu maji kuingia kila tenki. Kwamba float switch inayoona tenki lake linahitaji maji, iwashe pump na kuifungua valve inayolisha tenki husika

2. Pipes toka kwenye tenki la underground kuja kwenye kila tenki

3. Float switch ya kwenye underground tenki, iwe inaaruhusu pump kuwaka endapo tu tenki hilo lina maji

Leta kazi nikudizainie circuit na ukitaka hadi installation
Unapatikana wapi
 
Back
Top Bottom