Inawezekana.Yaani nina karo la maji nimechimba chini nimeunganishia gutter zote za nyumba na maji ya kisima chani nimetoboa , na hili karo linajaa maji lita laki 3
Sasa nina ma tank 2 juu nimeweka ya lita efu 5 tano yako kwenye towel yake sasa nataka hapa chini nifunge pump (surfes pum) alafu huku juu kila tank niweke floot swit ambayo itaopereti hii pump kulingana na tank litakalowahi kuisha maji.Yaani nataka hii pump iwe inajiwasha na kujizima kila ikijaza maji bila mimi kuwashana kuzima.
Vile vile huku kwenye karo chini nako nataka niweke floot swith ingine ambayo ndio itaruhusu hii pump iweze kubali au kataa kama maji hakuna endapo ma tank ya juu yanahitaji maji kutoka kwenye karo je ,itawezekana hii sayansi?
Boss wa @TTCL mzima wewe?Inawezekana.
1. Solenoid valve za kuruhusu maji kuingia kila tenki. Kwamba float switch inayoona tenki lake linahitaji maji, iwashe pump na kuifungua valve inayolisha tenki husika
2. Pipes toka kwenye tenki la underground kuja kwenye kila tenki
3. Float switch ya kwenye underground tenki, iwe inaaruhusu pump kuwaka endapo tu tenki hilo lina maji
Sijawahi kuwa bosi wa TTCL wala kufanya kazi huko.Boss wa @TTCL mzima wewe?
Nimejaza fomu ya kufungiwa faiba tangu mwaka 2022 mpaka leo naona kimya
Huko acha njoo savannah fiber huku installation ni free na vifurushi bei safi sanaBoss wa @TTCL mzima wewe?
Nimejaza fomu ya kufungiwa faiba tangu mwaka 2022 mpaka leo naona kimya
Bei ipoje?Huko acha njoo savannah fiber huku installation ni free na vifurushi bei safi sana
Fafanua vizuri hapo mkuuInawezekana.
1. Solenoid valve za kuruhusu maji kuingia kila tenki. Kwamba float switch inayoona tenki lake linahitaji maji, iwashe pump na kuifungua valve inayolisha tenki husika
2. Pipes toka kwenye tenki la underground kuja kwenye kila tenki
3. Float switch ya kwenye underground tenki, iwe inaaruhusu pump kuwaka endapo tu tenki hilo lina maji
Leta kazi nikudizainie circuit na ukitaka hadi installation
Tupe bei , tuachane na zukuHuko acha njoo savannah fiber huku installation ni free na vifurushi bei safi sana
Hii hapaTupe bei , tuachane na zuku
Nitafafanua kwa kutumia block diagram hii hapa chiniFafanua vizuri hapo mkuu
Wanapatikana wapi hawa?
Sehemu nyingi sana hapa dar es salaamWanapatikana wapi hawa?
Temeke wamefika kweli hawa?Sehemu nyingi sana hapa dar es salaam
NifundiKila kitu kinawezekana
Unapatikana wapiInawezekana.