Je naweza kuwashitaki Vodacom kwa hizi sms?

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,439
Reaction score
861
Habari wasomi,
Nimekuwa nikipokea sms hizi kwa wingi kutoka vodacom kupitia namba 15017 ikinisisitiza juu ya matumiziya ARV pamoja na kujijali dhidi ya HIV.

Kiukweli hizi sms zinaniboa na ukizingatia mie siyo mgongwa wa UKIMWI hivyo situmii vidonge vya ARV hii ni sawa na kunitukana kwani ni wazi wanauhakika kuwa ninaumwa ukimwi,je walinipima wao na sijawahi kujiunga na hii huduma?

Hili linanisumbua sana hasa nikiwapigia wananiambia hawana huduma hii.

Naombeni utaratibu wa kuwashitaki kwa hili

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umewahi kuchangia damu ni kawaida sana itakuwa damu yako walikuta ina problems

blame no body
 
Nenda makao makuu ya vodacom nadhani tatizo lako litaisha.
 
Mbona mimi natumia voda na sipati hizo SMS

Nenda hospitali unayochukulia ARVs ndio wamepeleka taarifa zako Voda ili wakukumbushe mara kwa mara ili usisahau kunywa dawa

Pole mkuu fuata ushauri wa daktari
 
nenda hospitali uliyopima mara ya mwisho karudie vipime, huwezi jua ila ishi kwa matumaini. pengine watu wasiojulikani ni chanzo cha hili
 
SMS zote zitokazo vodacom huwa unazipata,unauhakika gani kuwa ninatumia ARV?au unajibu tu kwavile unaakaunti humu jf?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, ninafanyia kazi ombi lako lenye namba A2-6GXR-L1N2E8 . Nitakamilisha tar 14-SEP-17 Nitaendelea kuwasiliana na wewe hadi nimetatua tatizo.Umesajiliwa? Piga *106#. SALMIN NANGULUKUTA

Mpedwa mteja ili kutoa sms inayojirudiarudia kwenye simu yako tafadhali toa line yako kwenye simu kisha nenda upande wa sms futa sms hiyo kisha rudisha line. asante vodacom WeCare

Habari, nimekamilisha utatuzi wa ombi lako namba A2-6GXR-L1N2E8 lililoripotiwa 13-SEP-17 . Nimekuhudumia vizuri? Nijulishe kwa kujibu maswali. NEEMA ELIAKIM . WeCare

Haya hizo sms zao za kutaka nifute ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hapa sms za vodacom
 
Attachments

  • IMG_20170914_153141.jpg
    46.2 KB · Views: 52
nenda hospitali uliyopima mara ya mwisho karudie vipime, huwezi jua ila ishi kwa matumaini. pengine watu wasiojulikani ni chanzo cha hili
Usipende kuleta mizaha humu mbuzi wewe
 
Attachments

  • IMG_20170914_153141.jpg
    46.2 KB · Views: 45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…