nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Habari wasomi,
Nimekuwa nikipokea sms hizi kwa wingi kutoka vodacom kupitia namba 15017 ikinisisitiza juu ya matumiziya ARV pamoja na kujijali dhidi ya HIV.
Kiukweli hizi sms zinaniboa na ukizingatia mie siyo mgongwa wa UKIMWI hivyo situmii vidonge vya ARV hii ni sawa na kunitukana kwani ni wazi wanauhakika kuwa ninaumwa ukimwi,je walinipima wao na sijawahi kujiunga na hii huduma?
Hili linanisumbua sana hasa nikiwapigia wananiambia hawana huduma hii.
Naombeni utaratibu wa kuwashitaki kwa hili
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app