Je naweza kuwashitaki Vodacom kwa hizi sms?

Je naweza kuwashitaki Vodacom kwa hizi sms?

Hizi hapa sms za vodacom
Bila shaka kwa sms hizi lazima hiyo line imehusika kwenye kuandikishwa kwenye hosptal inayochukuliwa dawa hizo.. Aidha yupo mtu amekufanyia makusudi ameandika number yako au waandish bahat mbaya wamekosea number yako... Jaribu kureview watu wako wa karibu mademu na washkaji..
 
Mkuu kwanza pole sana. Hizo sms vodacom wanaweza wakawa hawahusiki nazo kama unavyofikiria. Kwa mfano, unaposajili namba yako kwenye huduma za kibenki unakua unapata sms kadri unavyofanya miamala. Hizo sms hazihusiani na vodacom.

Nnachofikiria, huenda hiyo namba imesajiliwa kimakosa au mtu kakufanyia hujuma kusajili namba yako bila ya wewe kujua.
 
Back
Top Bottom