nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
- Thread starter
- #21
Wanakera sana hawa sniper ebu fikiria utakuwa katika hali gani iwapo hujawahi kupimwa na wala huna wazo hilo?Hahah nimejikuta2 nacheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakera sana hawa sniper ebu fikiria utakuwa katika hali gani iwapo hujawahi kupimwa na wala huna wazo hilo?Hahah nimejikuta2 nacheka
Bila shaka kwa sms hizi lazima hiyo line imehusika kwenye kuandikishwa kwenye hosptal inayochukuliwa dawa hizo.. Aidha yupo mtu amekufanyia makusudi ameandika number yako au waandish bahat mbaya wamekosea number yako... Jaribu kureview watu wako wa karibu mademu na washkaji..Hizi hapa sms za vodacom