Mkuu kwanza pole sana. Hizo sms vodacom wanaweza wakawa hawahusiki nazo kama unavyofikiria. Kwa mfano, unaposajili namba yako kwenye huduma za kibenki unakua unapata sms kadri unavyofanya miamala. Hizo sms hazihusiani na vodacom.
Nnachofikiria, huenda hiyo namba imesajiliwa kimakosa au mtu kakufanyia hujuma kusajili namba yako bila ya wewe kujua.