AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Je naweza kwenda bank na shiling zangu na nikabadilishiwa kua dollers,Je shiling zangu zilizo bank kupitia acc zangu naweza taka ziwe dollers ukouko?
Doller ni kitu gani mkuu?? Tuelekeze nasi tuchangamkie hizo fursaJe naweza kwenda bank na shiling zangu na nikabadilishiwa kua dollers,Je shiling zangu zilizo bank kupitia acc zangu naweza taka ziwe dollers ukouko?
Huyo hataki dollar, yeye anataka dollers.Kwanini uende Bank, unanunua dollars kwenye maduka tu ya kubadilisha fedha za kigeni
Hapo sawaHuyo hataki dollar, yeye anataka dollers.
Je naweza kwenda bank na shiling zangu na nikabadilishiwa kua dollers,Je shiling zangu zilizo bank kupitia acc zangu naweza taka ziwe dollers ukouko?
Pesa iko bankKwanini uende Bank, unanunua dollars kwenye maduka tu ya kubadilisha fedha za kigeni
Mjifunze kuelewa malengo ya watu, msikurupuke🤣🤣Hapo sawa
Malengo yake ayaweke wazi, wewe ni mke wake?Mjifunze kuelewa malengo ya watu, msikurupuke🤣🤣
Dollah unanunua tu bank HAINA shidaJe naweza kwenda bank na shiling zangu na nikabadilishiwa kua dollers,Je shiling zangu zilizo bank kupitia acc zangu naweza taka ziwe dollers ukouko?
Kubadilli pesa za kigeni kwenye bank zote hakuhitaji kuwa na akaunti ya bank.inawezekana 100% ila utafungua akaunt ya doler
Nilienda kwenye duka Moja nikaombwa PassportKwanini uende Bank, unanunua dollars kwenye maduka tu ya kubadilisha fedha za kigeni
Ni mume wenuMalengo yake ayaweke wazi, wewe ni mke wake?
Nilienda kwenye duka Moja nikaombwa Passport