AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Aug 22, 2026 Thread starter #21 Kwaiyo naweza kwenda kwenye bank zetu za ndani nmb,crdb,nbc na nikafunguliwa acc ya USD na vipi vigezo?
Kwaiyo naweza kwenda kwenye bank zetu za ndani nmb,crdb,nbc na nikafunguliwa acc ya USD na vipi vigezo?
yellow java JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 1,346 Reaction score 2,424 Aug 22, 2026 #22 Mkuu naweza kukuhudumia jambo lako kwa halaka zaidi. Welcome .
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 3,017 Reaction score 9,986 Aug 22, 2026 #23 Si ndo kazi yake ingine bank kubadili hela au mim nimeona vibaya
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Aug 22, 2026 Thread starter #24 Lakini watu wengi na wafanya biashara wanasema ni simple kubadili USD kua TSH kuliko TSH kua USD yaani maswali na fomu za kujaza na utambuz ni mwingi.
Lakini watu wengi na wafanya biashara wanasema ni simple kubadili USD kua TSH kuliko TSH kua USD yaani maswali na fomu za kujaza na utambuz ni mwingi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 23, 2026 #25 Ndiyo... Cc: Mahondaw
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,107 Reaction score 10,609 Aug 23, 2026 #26 mleta mada tutakufwatilia
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Aug 23, 2026 Thread starter #27 Kwa kosa lipi?