Je, nchi za wenzetu wanatumia vigezo gani kupata Waziri?

Sifa za kuwa Waziri -TZ
Elimu darasa la saba
Ujue kusoma na kuandika
Ugombee Ubunge wa jimbo ushinde na utangazwe na Tume ya Uchaguzi
Uwe na kipaji cha kuongea, kusifu na kuabudu.
Mengine utajifunzia huko huko wizarani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Chawa ni Kizazi cha akina Mwijaku ambao wamesoma Civics
Professor wa jalalani mnywa chachandu ya kutibu Uviko na aliyemuita bwana yule mheshimiwa Mungu naye alisoma Civics? Si ndio waasisi wa machawa hao.
Kangi Lugola naye hakusoma Civics.

Kina Mwijaku wameanzia uchawa kwenye muziki, waliowapeleka kwenye siasa ni hao waliosoma somo la siasa. Wapuuzi
 
Ni kweli. Nilisikia ule mdahalo wa waziri na mwandishi wa habari majibu yalikuwa ni ya kupaza sauti zaidi kuliko mantiki. Waziri anaulizwa haoni kama Serikali ndiyo sababishi ya kubuni Makamu wa Rais aliko? Yeye haoni hilo wala hajibu. Anasema Serikali ndiyo ilijua Makamu wa Rais alipo lakini amesahau kuwa Serikali hiyo inawajibika kwa wananchi. Na kama Serikali ingekuwa inaundwa kutokana na uchaguzi wa haki na kweli Serikali hiyo haingekuwa na kiburi hicho cha Wazir. Hapo ndipo tatizo lilipo.
Waziri mjinga haswa
 
Waliosoma somo la siasa ndiyo ambao wamezaa kizazi cha wajinga kinachoendekeza uchawa na kujipendekeza. Ambao wengi wamezaliwa 70's, 80's na 90's wakiwa na umri kati ya 30-50.

Somo la siasa lilikuwa ni Indoctrination ya siasa ya ujamaa ambayo imeacha ulemavu wa kudumu kwenye akili za waliolisoma. Hao nao effects imeenda hadi kwa kizazi chao. Itachukua muda mrefu kufuta ujinga uliowaingia wao na watoto wao wote waliosoma siasa.

Tusubiri kizazi cha waliozaliwa 2000's labda wataiponya nchi
Iko 50/50

Hicho kizazi cha 2000 kimeona mengi na mengine ya kutisha ya 17 March 2021.

Hiyo ni kukichanganya hiki kizazi.
 
Ameandika Martin Maranja Masese.

Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo ‘siriazi’ kabisa wanetu.

Paula Ingabire ni Waziri wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu, kachapa University of Rwanda (B.S.) na Massachusetts Institute of Technology (M.S.)

Paula akiwa Massachusetts Institute of Technology (MIT) alikuwa Mfanyakazi wa Ubunifu na Usimamizi wa Mifumo. Rwanda wamemfanya kuwa Waziri wao wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu

Paula Ingabire pia alifanya kazi kama mratibu wa Smart Africa, mpango ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya broadband kuendesha uchumi wa kijamii na kiuchumi barani Afrika.

Kabla ya kuteuliwa, Paula Ingabire alikuwa Mkuu wa mpango wa Kigali Innovation City. Kabla ya hapo, alishika wadhifa wa Mkuu wa ICT katika Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB)

Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), ni idara ya serikali inayounganisha mashirika yote ya serikali yenye jukumu la kuvutia, kuhifadhi na kuwezesha uwekezaji katika uchumi wa taifa.

Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB) wanahusika; usajili wa biashara, uhamasishaji uwekezaji, uidhinishaji wa mazingira, ubinafsishaji, utalii, SMEs na ukuzaji wa uwezo wa watu katika sekta binafsi.

Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB) hupima mafanikio yake katika (a) uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na ndani, (b) kuongezeka kwa mauzo ya nje na (c) idadi ya nafasi za kazi zilizoundwa.

Unaiona ile Visit Rwanda? Ndiyo kazi ya Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB). Wamesaini mkataba na Arsenal, Paris Saint-Germain, Basketball Africa League (BAL), Fußball-Club Bayern München, AFL.

Ukifungua portfolio ya Paula Ingabire inakueleza ni mtaalamu wa teknolojia na mwanasiasa kutoka Rwanda. Sasa fungua portfolio ya Waziri wako wa Teknolojia. Utakutana na BUMUNDA. INAKERA!

Lakini wanetu, kama nawakwaza, semeni..…

View attachment 2840140
Brigedia Mtikila, MMM.
Shida ya hapa kwetu CCM imegeuza nchi mali ya kikundi fulani cha watu. Kinachozingatiwa ktk teuzi kwanza ni uchawa kwa viongozi, chama bila kusahau eneo unalotoka, dini na maslahi ya nchi ni jambo la mwisho.

CCM imetengeneza mfumo wa uchawa kuanzia kwa watumishi wa umma hadi kwa wasomi wakubwa wa nchi hii. Karibu kila mteule anatenda hasichokiamini kulinda ugali. Bila kuwa chawa hata kama una CV iliyotukuka huwezipata uteuzi wa maana kama wa huyo binti wa Kinyarwanda. Sanasana utaundiwa zengwe uwe frustrated na utokomee.
 
Waliosoma somo la siasa ndiyo ambao wamezaa kizazi cha wajinga kinachoendekeza uchawa na kujipendekeza. Ambao wengi wamezaliwa 70's, 80's na 90's wakiwa na umri kati ya 30-50.

Somo la siasa lilikuwa ni Indoctrination ya siasa ya ujamaa ambayo imeacha ulemavu wa kudumu kwenye akili za waliolisoma. Hao nao effects imeenda hadi kwa kizazi chao. Itachukua muda mrefu kufuta ujinga uliowaingia wao na watoto wao wote waliosoma siasa.

Tusubiri kizazi cha waliozaliwa 2000's labda wataiponya nchi
Hawa waliozaliwa 2000 na kuendelea ndiyo bure kabisa kama hujui.
 
Waliosoma somo la siasa ndiyo ambao wamezaa kizazi cha wajinga kinachoendekeza uchawa na kujipendekeza. Ambao wengi wamezaliwa 70's, 80's na 90's wakiwa na umri kati ya 30-50.

Somo la siasa lilikuwa ni Indoctrination ya siasa ya ujamaa ambayo imeacha ulemavu wa kudumu kwenye akili za waliolisoma. Hao nao effects imeenda hadi kwa kizazi chao. Itachukua muda mrefu kufuta ujinga uliowaingia wao na watoto wao wote waliosoma siasa.

Tusubiri kizazi cha waliozaliwa 2000's labda wataiponya nchi
Una uhakika na unachoongea au stress zinakusumbua. Hiki kizazi cha machawa ni cha lini.
 
Ameandika Martin Maranja Masese.

Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo ‘siriazi’ kabisa wanetu.

Paula Ingabire ni Waziri wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu, kachapa University of Rwanda (B.S.) na Massachusetts Institute of Technology (M.S.)

Paula akiwa Massachusetts Institute of Technology (MIT) alikuwa Mfanyakazi wa Ubunifu na Usimamizi wa Mifumo. Rwanda wamemfanya kuwa Waziri wao wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu

Paula Ingabire pia alifanya kazi kama mratibu wa Smart Africa, mpango ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya broadband kuendesha uchumi wa kijamii na kiuchumi barani Afrika.

Kabla ya kuteuliwa, Paula Ingabire alikuwa Mkuu wa mpango wa Kigali Innovation City. Kabla ya hapo, alishika wadhifa wa Mkuu wa ICT katika Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB)

Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), ni idara ya serikali inayounganisha mashirika yote ya serikali yenye jukumu la kuvutia, kuhifadhi na kuwezesha uwekezaji katika uchumi wa taifa.

Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB) wanahusika; usajili wa biashara, uhamasishaji uwekezaji, uidhinishaji wa mazingira, ubinafsishaji, utalii, SMEs na ukuzaji wa uwezo wa watu katika sekta binafsi.

Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB) hupima mafanikio yake katika (a) uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na ndani, (b) kuongezeka kwa mauzo ya nje na (c) idadi ya nafasi za kazi zilizoundwa.

Unaiona ile Visit Rwanda? Ndiyo kazi ya Bodi ya Maendeleo Rwanda (RDB). Wamesaini mkataba na Arsenal, Paris Saint-Germain, Basketball Africa League (BAL), Fußball-Club Bayern München, AFL.

Ukifungua portfolio ya Paula Ingabire inakueleza ni mtaalamu wa teknolojia na mwanasiasa kutoka Rwanda. Sasa fungua portfolio ya Waziri wako wa Teknolojia. Utakutana na BUMUNDA. INAKERA!

Lakini wanetu, kama nawakwaza, semeni..…

View attachment 2840140
Brigedia Mtikila, MMM.
Huyu wa kweli tumepata hasara taslimu
 
Back
Top Bottom