Je, nchi za wenzetu wanatumia vigezo gani kupata Waziri?

Sifa za kuwa Waziri -TZ
Elimu darasa la saba
Ujue kusoma na kuandika
Ugombee Ubunge wa jimbo ushinde na utangazwe na Tume ya Uchaguzi
Uwe na kipaji cha kuongea, kusifu na kuabudu.
Mengine utajifunzia huko huko wizarani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Chawa ni Kizazi cha akina Mwijaku ambao wamesoma Civics
Professor wa jalalani mnywa chachandu ya kutibu Uviko na aliyemuita bwana yule mheshimiwa Mungu naye alisoma Civics? Si ndio waasisi wa machawa hao.
Kangi Lugola naye hakusoma Civics.

Kina Mwijaku wameanzia uchawa kwenye muziki, waliowapeleka kwenye siasa ni hao waliosoma somo la siasa. Wapuuzi
 
Waziri mjinga haswa
 
Iko 50/50

Hicho kizazi cha 2000 kimeona mengi na mengine ya kutisha ya 17 March 2021.

Hiyo ni kukichanganya hiki kizazi.
 
Shida ya hapa kwetu CCM imegeuza nchi mali ya kikundi fulani cha watu. Kinachozingatiwa ktk teuzi kwanza ni uchawa kwa viongozi, chama bila kusahau eneo unalotoka, dini na maslahi ya nchi ni jambo la mwisho.

CCM imetengeneza mfumo wa uchawa kuanzia kwa watumishi wa umma hadi kwa wasomi wakubwa wa nchi hii. Karibu kila mteule anatenda hasichokiamini kulinda ugali. Bila kuwa chawa hata kama una CV iliyotukuka huwezipata uteuzi wa maana kama wa huyo binti wa Kinyarwanda. Sanasana utaundiwa zengwe uwe frustrated na utokomee.
 
Hawa waliozaliwa 2000 na kuendelea ndiyo bure kabisa kama hujui.
 
Una uhakika na unachoongea au stress zinakusumbua. Hiki kizazi cha machawa ni cha lini.
 
Huyu wa kweli tumepata hasara taslimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…