Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

jamaa tangu amkatae kristo mambo yamemgomea kabisa. ama kweli the shit is real.
 
Sijui hata imekuaje ukimwangalia Mario Balotelli,Adrian Mutu na huyu bwana unaishia kusikitika tu haya Maisha haya.
 
Maisha yatakuwa magumu maana watamtema
 
Moja ya kipaji kikubwa kilichopotea kimasihara tu, anyway Pogba nitamkumbuka akiwa katika jezi ya Man Utd siku akipiga magoli mawili baada ya Man Utd kufanya comeback ya goli 2-0 na kushinda 3-2 pale Etihad.
 
Duh aiseee itakua bonge la sherehe kwa ndugu zake wasiopenda mafanikio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…