Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikuwa mtiifu Kwa Jiwe kama Makonda basi imekula kwakeBaada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu,.je ndo wakati wa kumleta ndg ally happy kweny ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa makonda?..let's wait and see
Umakini wake ni upi? Chawa Tu huyu wote walikuwa wanajipendekeza Kwa jiwe.Kijana makini sana kwenye uongozi.
Ashaomba sana msamaha, ashalia sana na ashapiga magoti sana. Ndiyo maana karudishwa. Na karipio kali kapewa.Awaombe kwanza msamaha wahafidhina wote wa chama, aliowatukana hadharani kipindi kile cha Jiwe.