Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja.
Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena".
Harusi zinapambwa kama shoo za muziki, lakini baada ya miezi mitatu ndoa imevunjika. Je, tatizo ni kizazi hiki kutovumilia, ama ndoa imekuwa biashara ya kunufaika na mali za mwenzako?
Nauliza: Je, bado kuna mapenzi ya kweli katika ndoa za kisasa? Au kila mtu anaingia kwa maslahi?
Karibuni kwa hoja zenye kujenga.
Asante.