Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Je Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama?
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeleta hoja hii muhimu nilitarajia majibu yasiyo na kero wala karaha
Nauliza kuwa wale ndugu zetu wanaokula yule mnyama mwenye harufu kali ya kuchefua aendaye kwa jina la fungo
Je, ulaji huo?
Unazingatia mila na desturi zao?
Unatokana na uhaba au ukosefu wa nyama?
Unachangiwa na upagani?
Na je kuna madhara yeyote pia ya kiafya kwa matumizi ya nyama hiyo?
Karibuni wenye elimu na uzoefu mtujuze
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Usiku mwema